Kyala ghwa maka ajege nanungwe bhwila na bhwila.Tununu
Haaaaaa!Huyo hawezi kupaona, mpaka umstue! [emoji1][emoji1]
Aaah hapo sawa nikajua ni yule wa khali. [emoji23] maana wakenya ni wezi hadi majina ya Tz.Hapana Mkuu! Mimi ni YEGO original, yule ni wa kuchonga tu! [emoji1][emoji1]
Kongo man olomide...Mwanamuziki Koffi Olomide ametangaza kuwa na onyesho la muziki mwezi huu tarehe 24 nchini Kenya.
Onyesho hili litakuwa la kwanza nchini Kenya tangu alivyokataliwa kuingia nchini humo Julai 2016 baada ya kumdhalilisha mmoja wa wanenguaji wake .
Koffi amesema hayo katika ujumbe wa video kwamba amealikwa kufanya onyesho katika mkutano wa taifa la Kenya ambao utajumuisha viongozi 47 wa nchi hiyo ambao ni mjumuisho wa rais na viongozi wa juu wa serikali.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nateseka sana shemejiGo down hata mara moja moja go down[emoji445] [emoji445] [emoji441] [emoji441] [emoji23][emoji23][emoji23]shemejiii
Mmmmh... saa 5 sijui kama nitalala kweli hizi picha.
Broooooo....!!!Kwani mi kwako nishawahi kuwa Mgumu mimi we kumbuka mwenyewe nishawahi mimi??
Mmmmh... saa 5 sijui kama nitalala kweli hizi picha.
Weeeeee weeeee!!!! Labda Numbisa ndo aseme. Wewe ni tatizoHuu uzi umeharibu akili yangu,sikuwa hivi mimi[emoji23][emoji23][emoji23]