Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Taasisi ya utafiti la Cancer Research ya Uingereza imesema utafiti huu unasaidia wagonjwa kupata uangalizi mzuri wa kitabibu
hatuwezi kutofautisha kati ya unaohitaji tiba na usiohitaji.
Mtu mmoja mwenye saratani anaweza kufa haraka kuliko mtu mwingine mwenye saratani inayofanana ambaye anaweza kuishi kwa miongo kadhaa baada ya matibabu
 
Kazi iliyochapwa kwenye jarida liitwalo Journal Cell, iliainisha saratani za figo kwa wagonjwa 100
Wakati saratani ikikua zinakuwa zikibadilika zaidi na hatimae sehemu mbalimbali za uvimbe zinajiunda kwa namna mbalimbali
Watafiti huchukua sampuli kutoka sehemu mbalimbali za uvimbe huohuo na kutazama kwa namna gani zina uhusiano wa karibu
 
Alisema: ''kwa kweli tafiti kama hizi ni muhimu kwa ajili ya kupata uelewa ni jinsi gani saratani ya figo inavyokua kadiri muda unavyokwenda, na nina matumaini kuwa hii itasaidia wagonjwa kama mimi kupata tiba nzuri.
 
Kongo man olomide...

Wakongo vaa yao ukiiga unaitwa sh.o.ga huku Tz. [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…