Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Kukuchoka wewe labda nishikiwe rungu[emoji6]Daaah baridi naona umenichoka. [emoji17] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Kukuchoka wewe labda nishikiwe rungu[emoji6]Daaah baridi naona umenichoka. [emoji17] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Memba wa Jf akili zao zote....Hakuna shida mkuu. Jisikie huru kabisa. Marekani kule issue ya sexual identity inarindima sana. Naelewa mkuu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Mmmh...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Kukuchoka wewe labda nishikiwe rungu[emoji6]
Sawa mkuu. Hao small minds wanaodiscuss people wana shida kwa kweli. Blessings mkuu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Memba wa Jf akili zao zote....
[emoji23] sitaki ban mie..
Mie huwa siangalii mtu au jamii am always different ndiyo maana nikaweka I'd ya kike. While others wameweka ya me.
" sometimes you have to be alone and kindly different "
" small minds discuss about people, big minds discuss about ideas "
[emoji23] [emoji4] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28]Work hard so as mtoto wako asikuwe anatumia watu messages
"Send this messages to 10 people so as to be successful"
"Mapaja utamu wake michirizi"Mmmh...
Ndiyo maana Jana kanisani tuliambiwa kwanini Samson aliweza kutekwa na delillah mchungaji akasema alioneshwa paja na maneno matamu Samson akapagawa akatoa siri zote.
Mapaja utamu wake michirizi..... in Nikki wa II voice.
Una maneno ya uchochezi wewe na haya mafuriko. [emoji23]
Furika tu kwakweli, hakuna namna[emoji28][emoji28][emoji23]Mmmh...
Ndiyo maana Jana kanisani tuliambiwa kwanini Samson aliweza kutekwa na delillah mchungaji akasema alioneshwa paja na maneno matamu Samson akapagawa akatoa siri zote.
Mapaja utamu wake michirizi..... in Nikki wa II voice.
Una maneno ya uchochezi wewe na haya mafuriko. [emoji23]
Asante mkuu itanisaidia kwenye kutunga vina na mizani nikiandika ngoma kalee... [emoji23] [emoji443] [emoji444] [emoji441]TUJIFUNZE KISWAHILI:
1. Charger - kimemeshi
2. Remote - kitenzambali
3. Password - nywila
4. Akala (bladder shoes) - kirikiri
5. Passion fruit - karakara
6. Kangaroo - bukunyika
7. Fridge - jokofu
8. Juice - sharubati
9. Chips - vibanzi
10. PHD - uzamifu
11. Masters degree - uzamili
12. Degree - shahada
13. Diploma - stashahada
14. Certificate - astashahada
15. Keyboard - kicharazio
16. Scanner - mdaki
17. Flash disk - diski mweko
18. Mouse (for a computer) - kiteuzi
19. Floppy disk - diski tepetevu
20. Computer virus - mtaliga
21. Distillation - ukenekaji
22. Evaporation - mvukizo
23. Synthesis - uoanishaji
24. Oesophagus - umio
25. Greenhouse - kivungulio
26. Femur - fupaja
27. Germ cell - selizazi
28. Humus - mboji
29. Nector - mbochi/ntwe
30. Nutrients - virutubisho
31. Crystal - fuwele
32. Appetizers - vihamuzi
33. ATM - kiotomotela
34. Business card - kadikazi
35. Scratch card - kadi hela
36. Simcard - kadiwia/mkamimo
37. Memory card - kadi sakima
38. Microwave - tanuri ya miale
39. Mobile phone - rununu/rukono
40. Stapler - kibanizi
41. Laptop - kipakatalishi
42. Power saw - msumeno oto
43. Duplicating machine - kirudufu
44. Photocopier - kinukuzi
45. Cocktail party - tafrija mchapulo
46. Air conditioner - kiyoyozi
47. Calculator - kikokotozi
48. Lift - kambarau
49. Reaction - radiamali
50. Toothpick - kimbaka
[emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji16][emoji1483]
*KWA HALI HII BORA TUSOME TU KINGEREZA*
Kiswahili kumbe pia si chetu[emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji23], huyu msanii wetu huyu ni changamoto"Mapaja utamu wake michirizi"
Nimeipenda hii verse...
Nikiwa karibu na wewe ndiyo naweza kufurika nikiwa mbali siwezi. [emoji23]Furika tu kwakweli, hakuna namna[emoji28][emoji28][emoji23]
Nikiwa karibu na wewe ndiyo naweza kufurika nikiwa mbali siwezi. [emoji23]Furika tu kwakweli, hakuna namna[emoji28][emoji28][emoji23]
Gunia ya kuoga[emoji23][emoji23]Lakini kama hutumiagi sabuni hadi inavunjika mara mbili na ata ikivunjika bado unaifinyilia kwa gunia ya kuoga we can’t be friends...... [emoji23][emoji23][emoji12][emoji23][emoji881]