Nchi ya Nigeria ni kubwa na watu wake ni wengi, lakini asilimia 90% ya raia wa Nigeria wamesoma tena degree kwa masters lakini bado hufanya shughuli zao kama kuchora, kucheza, kuimba, n.k na kimaisha wanatoka kwa sababu ya kujituma ila si kuloga,
Tz asilimia 65% raia wake wana elimu ya kati na zaidi lakini bado analalama maisha ni magumu, anataka kukaa ofisi ya azam bakhresa kama muhasibu kisa kasomea bachelor of account, ya kwamba amesahau kipawa chake ni kutunga nyimbo hakika fursa hajaiona, anabaki kuamini ili utoboe katika anga hizo lazima uloge.
Huu ni wakati wa kubadilika mtaji ni juhudi zako siyo milioni 4. [emoji23]