Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


428934434_83477.jpg
 
Nimeshastaafu Ukatibu wa CHAWAMITA mkuu. Wasiliana na katibu mpya Bilionea Asigwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
Umestaafu ukatibu lakini wewe bado ni mwanachama wa chama hicho unayepatikana muda mwafaka, tupia mkuu
 
Mbona unashangaa mkuu....

1. Kuna sheria yeyote humu Jf kuwa ke atumie ID ya ke au me atumie ID ya me...??

2. Kuangalia ID juu juu bila kuchambua ni kosa.

3. Jf kila memba anayo haki ya kufanya ajisikiavyo ili mradi havunji sheria,

4. Kukariri ni ugonjwa mbaya sana katika nchi ya Tz.

5. Kwenye ID ni Dada yangu sitaki maswali.
[emoji23] [emoji1] [emoji87]
Hahahahaha, nachekaaaaaaaaka
 
Back
Top Bottom