Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28], atakoma pale atakapo dhihirishiwa.Amesema "Hakomi"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28], atakoma pale atakapo dhihirishiwa.Amesema "Hakomi"
Mkuu, kwani kibaridi na mvua bado vinaendelea huko? Jimama hili hapa likusaidie kupata joto kidogo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umestaafu ukatibu lakini wewe bado ni mwanachama wa chama hicho unayepatikana muda mwafaka, tupia mkuu
Wewe huyo huyo.
Kama taarabu vile.....full mipashoDaaah baridi naona umenichoka. [emoji17] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Rapa akiamka mtakoma. Atawachana na mistari ya uhakika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28], atakoma pale atakapo dhihirishiwa.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] Rungu? Daaa watu mna maneno bana[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Kukuchoka wewe labda nishikiwe rungu[emoji6]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji23]Rapa akiamka mtakoma. Atawachana na mistari ya uhakika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji28][emoji23][emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3] Rungu? Daaa watu mna maneno bana[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ujumbe Murua. UBARIKIWE SANA MKUU. Tuna wasomi feki, washamba waliokulia machungani, wanadhani degree mahali pake ni ofisini tuNchi ya Nigeria ni kubwa na watu wake ni wengi, lakini asilimia 90% ya raia wa Nigeria wamesoma tena degree kwa masters lakini bado hufanya shughuli zao kama kuchora, kucheza, kuimba, n.k na kimaisha wanatoka kwa sababu ya kujituma ila si kuloga,
Tz asilimia 65% raia wake wana elimu ya kati na zaidi lakini bado analalama maisha ni magumu, anataka kukaa ofisi ya azam bakhresa kama muhasibu kisa kasomea bachelor of account, ya kwamba amesahau kipawa chake ni kutunga nyimbo hakika fursa hajaiona, anabaki kuamini ili utoboe katika anga hizo lazima uloge.
Huu ni wakati wa kubadilika mtaji ni juhudi zako siyo milioni 4. [emoji23]
Karibhu sana wasu..Uje unyweko ebhinji.Wakondya! Nikaleta jidagaa jani Kariakoo mwishimo awo enikuyenja!