moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mafaili yako wapi mkuuNimesharudisha na kadi kwa Mwenyekiti. Kama nawe ni memba sema nikuelekeze yaliko mafaili ukajiridhishe mwenyewe kwa raha zako ...
Mafaili yako wapi mkuuNimesharudisha na kadi kwa Mwenyekiti. Kama nawe ni memba sema nikuelekeze yaliko mafaili ukajiridhishe mwenyewe kwa raha zako ...
Msiwalaumu wasomi jamani. Ni mfumo wa elimu na jamii iliyowakuza na kuwalea. Jamii yenyewe ikiwaona wanachoma mahindi au kuuza chips inawacheka. Msomi lazima awe na kazi nzuri na ni lazima atajirike - dhana potofu kabisa kuhusu elimu na dhima yake. Sisi yaani bado sana aisee....Ujumbe Murua. UBARIKIWE SANA MKUU. Tuna wasomi feki, washamba waliokulia machungani, wanadhani degree mahali pake ni ofisini tu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hapana mkuu, nimemuuliza tu
Aje anywe nini?Karibhu sana wasu..Uje unyweko ebhinji.
Huku kwetu kuna msemo usemao "Kuuliza si ujinga" " Aulizae ataka kujua" ni vema tutambuane atiMaswali mengine siyo ya kuuliza [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji23], atakunywa maji tu mkuu..labda kama atakuwa na njaa ntampikia ugali wa mhogo.Aje anywe nini?
Mbona asiishie huko huko Kariakoo shimoni na dagaa zake?
Kijana Mgumu unafikiri ni kweli ataishia kunywa maji pekee?
Hahaha hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28], atakoma pale atakapo dhihirishiwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28]Hahaha hahaha
Mambo ndiyo hayo mkuu, endelea usichoke, hali ya hewa huku ni rafikiMkuu, kwani kibaridi na mvua bado vinaendelea huko? Jimama hili hapa likusaidie kupata joto kidogo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 746956
Karibhu sana wasu..Uje unyweko ebhinji.
Anachana si mchezo[emoji3] [emoji3] [emoji3]Rapa akiamka mtakoma. Atawachana na mistari ya uhakika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante mkuu,
Kagumu hako. Kamekataa kufundishwa sembuse kunyweshwa maji? Utashangaa....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji23], atakunywa maji tu mkuu..labda kama atakuwa na njaa ntampikia ugali wa mhogo.
Aje anywe nini?
Mbona asiishie huko huko Kariakoo shimoni na dagaa zake?
Kijana Mgumu unafikiri ni kweli ataishia kunywa maji pekee?