[emoji23][emoji23][emoji23], aiseeNimeelewa. Ugali unaonoga kukiwa na mvua na baridi. Ugali spesheli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kongowe Mzinga. Nilipigwa limbwata pale. Kujinasua ilikuwa kazi ngumu. Mwanaidi...Mitaa yako ni Kizinga au Mzinga ? Kuna siku nilikuona Kongoe mzinga unakunywa ghawa pale kituoni
Kwa nini patashika? Au unataka Andjul awe Mwenyekiti wa kamati ya vinywaji na MC awe Numbisa au Carba?