Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

21827208_887124758102922_7558345939274956800_n.jpg
 
Kuna mtu anafanya utafiti Tanzania mkuu? Umeshasoma tafiti zinazotoka Mlimani pale? Utatajirika kwa kufanya utafiti? Elimu yetu ni ya hovyo mno mkuu. Na ukiishi kijijini wewe ndo utachekwa mpaka ufe....
Kama hawawezi fanya tafiti za kimaabara waende wakazalishe mali wakikabiliana na changamoto za kilimo kama walivyosomea ili iwe darasa kwa wakulima. Vinginevyo hakuna usomi ni undezi mtupu. Wasomi wanahaha mitaani na bahasha za kaki wanasaka ajira kwenye nchi yenye kila aina ya raslimali na mitaji kila kona
 
Hivyo eh! sasa Mkuu ukikalia kichwa kwanza hakiwezi kustahamili uvumilivu wa makalio kutumika kwa muda mrefu kukaa chini pili dunia itakuwa miguu chini kichwa chini hivyo kuiona dunia duble duble (Double double)

"Ukitaka kujua umuhimu wa tako kalia kichwa"
 
Back
Top Bottom