Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kagumu hako. Kamekataa kufundishwa sembuse kunyweshwa maji? Utashangaa....

Ila Wakerewe nyie couple safi kabisa mna possibility kubwa ya kuzaa vitoto jiniazi. Harusi hata msipotualika memba wa uzi huu tutajileta tu. MC Andjul [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji28][emoji16][emoji23], Baada ya pilika pilika za kariakoo naimani kiu haitamuacha salama,, hatakuwa na namna.
 
29737308_431686303933239_4735427303285194752_n.jpg
Dooo, safi
 
Kagumu hako. Kamekataa kufundishwa sembuse kunyweshwa maji? Utashangaa....

Ila Wakerewe nyie couple safi kabisa mna possibility kubwa ya kuzaa vitoto jiniazi. Harusi hata msipotualika memba wa uzi huu tutajileta tu. MC Andjul [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

MC andjul? Eeh, itakuwa patashika! [emoji3][emoji3]
 
Msiwalaumu wasomi jamani. Ni mfumo wa elimu na jamii iliyowakuza na kuwalea. Jamii yenyewe ikiwaona wanachoma mahindi au kuuza chips inawacheka. Msomi lazima awe na kazi nzuri na ni lazima atajirike - dhana potofu kabisa kuhusu elimu na dhima yake. Sisi yaani bado sana aisee....
Kuna wasomi wahitimu SUA hawataki kwenda kuishi vijijini kufanya tafiti kuhusu mazao, wadudu waharibifu, miti, udongo,nk. Wamejazana kwenye NGO ambazo hazina uhusiano na taaluma zao mijini, kisa, wao wasomi hawawezi ishi vijijini.
 
Kuna mtu anafanya utafiti Tanzania mkuu? Umeshasoma tafiti zinazotoka Mlimani pale? Utatajirika kwa kufanya utafiti? Elimu yetu ni ya hovyo mno mkuu. Na ukiishi kijijini wewe ndo utachekwa mpaka ufe....
 
Back
Top Bottom