Mazoezi ni kinga ya magonjwa ya moyo na shinikizo la damu.
Ufanyaji wa mazoezi unaozingatia taratibu maalumu za mazoezi hupunguza kwa kiasi kikubwa hatari ya kupata magonjwa ya moyo na shinikizo la damu (hypertension).
Inashauriwa kuanza na mazoezi madogo kwa siku za mwanzo kasha kuongeza uzito wa mazoezi kwa kadiri siku zinavoenda huku ukizingatia ratiba yako maalum ya mazoezi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.