Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Machapisho mbalimbali yanaonesha kuwa karibia asilimia 90 ya watu wenye tatizo la kutokwa na harufu mbaya mdomoni(halitosis) huwa ni kutoka kwenye kinywa na meno,na kati ya hao asilimia 50 huwa ni kwa sababu hawasafishi ulimi vizuri.
 
30830133_397587650719705_193552911647637504_n.jpg
Hatari sana
 
Ulimi unaweza kutunza mamilioni ya bakteria kwa upande wake wa juu hii ni kutokana na mabaki ya chakula tunachokula na bakteria kuozesha mabaki hayo kutengeneza kemikali mbalimbali ikiwemo zenye mchanganyiko wa sulphur,hizi hutoa harufu mbaya na wakati mwingine huwa haivumiliki.
 
Ulimi unaweza kutunza mamilioni ya bakteria kwa upande wake wa juu hii ni kutokana na mabaki ya chakula tunachokula na bakteria kuozesha mabaki hayo kutengeneza kemikali mbalimbali ikiwemo zenye mchanganyiko wa sulphur,hizi hutoa harufu mbaya na wakati mwingine huwa haivumiliki.
 
Dalili za kuwa hausafishi ulimi wako vizuri

Ulimi wako kuwa na rangi nyeupe,maziwa,njano au hata kijani kwenye eneo la juu(dorsum),unaweza kutumia kioo kuona mwenyewe.Kawaida ulimi unatakiwa kuwa na rangi ya pinki.
 
Kwa kutumia kijiko kwangua taratibu sehemu ya juu ya ulimi wako ukiona uchafu unabakia kwenye kijiko basi jua usafi wako ni hafifu na inawezekana kabisa kuna wakati fulani huwa unatoa harufu mbaya mdomoni.
 
Unashauriwa kuinama kidogo kwenda mbele yaani kichwa kiwe mbele kuliko sehemu zingine za mwili na ingiza mswaki taratiibu mpaka eneo la ndani kabisa ambako mswaki hauendi ndani zaidi na safisha kuanzia hapo kuja nje,usitumie nguvu sana wala usijilazimishe kutapika.
 
Inashauriwa kupiga mswaki vizuri angalau mara 2 kwa siku bila kusahau kusafisha ulimi,lakini kama una tatizo la kutokwa na harufu mbaya mdomoni na umejitahidi kusafisha ulimi wako vizuri na halijaisha usisite kumtembelea daktari wa meno
 
Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Unguja, Ayoub Mohamed Mahmoud amesema uwapo wa kumbi nyingi za starehe visiwani hapa ni miongoni mwa sababu zinazochangia wanafunzi kutofanya vizuri katika mitihani ya Taifa.

Mahmoud aliyasema hayo juzi katika warsha maalumu iliyowashirikisha wadau wa elimu, iliyofanyika Shule ya Haile Selasie Mjini Unguja.

Alisema kuwapo kwa kumbi nyingi za starehe maeneo mengi ya mji wa Zanzibar, huchangia wanafunzi wengi kujihusisha na matendo yasiyo na maadili.
 
Back
Top Bottom