Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Walidai aachwe apigwe upepo kwanza, wakati mimi nikiwa naendelea kufakamia chupa, ghafla mwenzetu mmoja ambaye alikuwa kiongozi wa wadhamini akaweka Sh100,000 mezani hapo nikahamasika zaidi,” anadai Paulo.
Baada ya kupiga chupa ya tano aliishiwa nguvu na kutoroka, hata hivyo njiani aliishiwa nguvu na kuanguka lakini alipozinduka alijishangaa kujikuta yuko hospitali akiwa amewekewa chupa za maji.
Baada ya kupiga chupa ya tano aliishiwa nguvu na kutoroka, hata hivyo njiani aliishiwa nguvu na kuanguka lakini alipozinduka alijishangaa kujikuta yuko hospitali akiwa amewekewa chupa za maji.