hiyo masaki ya msanga ngongele""Masaki, Oysterbay na Upanga kukoje?
khaaaaa...100k imemtoa roho""!?Asiyejua kufa mwambie achungulie kaburi, ndivyo ilivyotokea kwa Patrick Paulo (26) mkazi wa Morotonga wilayani Serengeti mkoani Mara ambaye amenusurika kifo katika shindano la unywaji pombe kali.
Katika shindano hilo ambalo mgambo Zakayo Thomas (50) maarufu kama Hayaishi, mkazi wa Ngarawani, alikufa papo hapo na kukosa dau la sh 100,000 walilokuwa wanashindania na wanywaji wenzake.