Inaitwa selfiehaha haaa
haha haha haaaaaWanaweka maji
Mmoja wa wauzaji wa baa (jina limehifadhiwa) anasema kuna mbinu mpya imeibuliwa na vijana wanaoshiriki shindano la kunywa pombe ili waweze kushinda na kuchukua pesa.
βWanakuja tunachukua chupa tupu za pombe aina mbalimbali kisha tunaziweka maji, tunazifunga na kuzipanga pamoja na nzima, wakifika tunachofanya ni kuzitoa zile za maji na mwisho nzima mbili, mmoja anaposhinda tunagawana kitita,βanasema muuzaji huyo.
aisee""Inaitwa selfie
kweli..Hii inaitwa jaza ujazwe likes