Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huyu jamaa mgumu...
852735530_168581.jpg
 
*Nmeumwa na mosquito bahati nzuri nikaishika ikiwa hai...I was tempted to kill it,bat nkakumbuka iko na damu yangu so we are related[emoji18][emoji18]...Nmeiachilia na nikaiambia isiwahi lala njaa nikiwa hii Nairobi[emoji39][emoji39][emoji39]damu n nzito kuliko maji* [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ukiona macho yanawasha ujue utamuona mtu uliyemmiss kwa muda mrefu, ukiona miguu inawasha ujue utapata kiatu kipya, ukiona mikono inawasha ujue utapata pesa

Sasa ukiona sehemu zako za siri zinakuwasha ndugu yangu usijidanganye nenda kaoge[emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
[emoji28][emoji28][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom