Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Team mafisi vs Team manyumbu...Team matusi
Team mafisi vs Team manyumbu...Team matusi
Team Lumumba vs Team UfipaTeam matusi
Nipo. Siku yaenda vyema kabisa..Nakuona. Siku inaendeleaje? Mafuriko vipi huko uliko?
Wapi Nansio? Hujagongana na kapoti kako huko? Basi nikutakie mchana mwema [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Nipo. Siku yaenda vyema kabisa..
Huku niliko kuna vimanyunyu manyunyu tu.
[emoji23][emoji23][emoji23], vipi uzima upo?Her: I think I'm in love with you...
Me: comeback when you are sure.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
WAGUMU OYEEEEE !!!
Na bado. Kama mabadiliko ya hali ya hewa yanayosemwa na wanasayansi ni ya kweli basi tujiandae tu. Wanatabiri miji mingi ya pwani kufurika permanently na kwa wenzetu huku tayari wameanza kuhangaika...Miundombinu iliyochakachuliwa inayo ligharimu taifa