ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Ulikuwa mshangao kwa kila aliyeachwa
Ulikuwa mshangao kwa kila aliyeachwa
JF hapa hata uwe nani ukilikoroga ban inakuhusu. Kwema?Muanzisha huu uzi kapigwa BAN??
Alhamdulillah, namshukuru Mwenyezi Mungu aliye Mkarimu, amenikirim afya njema mkuu. Vipi kwenu Dom mvua vipi hukoMkuu habari yako
Gharika kuu
Wamekalia mizinga na uzabizabina tu. Samahani Dada zangu memba wa uzi huu. Hii haiwahusu
Mkuu habari, ukimuona yule jamaa mpe salaam[emoji3] [emoji3]Naimani mmeamka salama kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji23],, Wewe ongea yote tu..Wamekalia mizinga na uzabizabina tu. Samahani Dada zangu memba wa uzi huu. Hii haiwahusu
Kweeeli haiwahusu maana hawa wa kwetu humu mizinga kwao haramu,Wamekalia mizinga na uzabizabina tu. Samahani Dada zangu memba wa uzi huu. Hii haiwahusu
Tungeishi huko tungeshatetemeshwa na matetemeko na vimbungatungeshapotea...
Kwema kabisa aiseeeJF hapa hata uwe nani ukilikoroga ban inakuhusu. Kwema?