[emoji23][emoji23][emoji23], Aisee..mbona hao walotajwa hapo ni wasanii tu, mwafikiri wote wanawahitaji hao wasanii...???Kweeeli haiwahusu maana hawa wa kwetu humu mizinga kwao haramu,
Ni wachapakazi wazuri sana.
Salaam mkuuNipo mzee wa liver
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28], halafu kweli, si TV tu mpaka radio.Scientists Are Still Struggling To Find Why African People Turn Down The TV Volume To Smell If Something Is Burning In The Kitchen[emoji19][emoji57][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikumbushe tafadhari.Mkuu habari, ukimuona yule jamaa mpe salaam[emoji3] [emoji3]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mitumba ya miswaki[emoji3] [emoji3] [emoji3] peleka mtaa wa congo[emoji125] [emoji125] [emoji125]Mzee wa liver nina biashara ya miswaki imara sana iliyotumika kidogo Ulaya na Marekani unahitaji nikutumie?
Harusi ilifana bana acha mchezo
Mfalme wa zamani RIP
Aaaa wapi. Mapovu yapo tena ya kumwaga. Jaribu kupinga au kuhoji demokrasia ya watu wenye demokrasia zao zenye demokrasia ndiyo utajua ni kwa nini demokrasia ya kweli haina demokrasia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uzi usio na povu
Jakitoo amepigwa ban hii wiki karibu ya tatu hamjaandamana au kwa vile huyu ni founder? Nitawaunga mkono though...Kwema kabisa aiseee
Inabidi wadau wa huu uzi tuandmane, founder aachiwe