A single bracelet does not jingle.Hii lugha ya Malkia shida Sana
[emoji85] [emoji85]I start to feel those butterflies, When I’m next to you ..
F**ck Alshabab...Wapi Bob12
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15][emoji85] [emoji85]
Swali ukimaliza uje. Au laa uliza utajibiwa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125]nina swali jamani
Karibu home temekeMsaada mahala pa kulala nyumba imekumbwa na mafuriko[emoji19][emoji19]View attachment 747599
Ulipo wapo, India nafasi imejaaWahindi wapo mpaka huko Nansio? Hawa jamaa kiboko eeeh!?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akiiii kungekuwa na voice note ningekuwekea nimechekaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe dawa yenyewe ndogo hivyo[emoji23][emoji23][emoji23]acha nikatafute picha nyingine
Huku kwema kabisa. Huko kivipi? Mafuriko yamekuacha salama. Bila shaka yatakuwa yamekasomba kale kanyoka ketu kakorofi na kang'ang'anizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]lol
Hii reaction yako tu ndo huwa naipenda
Habari ya leo shem
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] mi simo kazi kwenuAkija mtaona tu mistari mikali. Nyie mtafuteni tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Weka hiyo voice note tusikie sauti ya binti wa pwani mwenye furaha ya kukoromijiwa [emoji23][emoji23][emoji23]Akiiii kungekuwa na voice note ningekuwekea nimechekaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe dawa yenyewe ndogo hivyo[emoji23][emoji23][emoji23]acha nikatafute picha nyingine
Nashukuru boflo inapatikana mkuuMungu ni mwema mkuu. Habari ya mapambano ya kusaka pesa?