Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Msaada mahala pa kulala nyumba imekumbwa na mafuriko[emoji19][emoji19]View attachment 747599
Nenda kwa Andjul [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
 
Na nyie mnaocheka na kudharau Wasukuma dawa yenu ni kuwaowa tu. Sijui mtajisikiaje kuolewa na Wasukuma, mawifi wenyewe usually huwa hawana mchezo mchezo ukileta za kuleta unakula za uso rolo modo cha mtoto. Hiyo ndo dawa yenu pekee kudadadeki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chief unawakilisha kolomije?
 
Na nyie mnaocheka na kudharau Wasukuma dawa yenu ni kuwaowa tu. Sijui mtajisikiaje kuolewa na Wasukuma, mawifi wenyewe usually huwa hawana mchezo mchezo ukileta za kuleta unakula za uso rolo modo cha mtoto. Hiyo ndo dawa yenu pekee kudadadeki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akiiii kungekuwa na voice note ningekuwekea nimechekaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe dawa yenyewe ndogo hivyo[emoji23][emoji23][emoji23]acha nikatafute picha nyingine
 
Back
Top Bottom