moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Angalau si povu la vilee kama ilivyo kwenye majukwaa yaoAaaa wapi. Mapovu yapo tena ya kumwaga. Jaribu kupinga au kuhoji demokrasia ya watu wenye demokrasia zao zenye demokrasia ndiyo utajua ni kwa nini demokrasia ya kweli haina demokrasia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]