Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji120] [emoji120]
lankasha-20180417-0001.jpg
 
Jakitoo amepigwa ban hii wiki karibu ya tatu hamjaandamana au kwa vile huyu ni founder? Nitawaunga mkono though...
Wiki tatu? Wee mzee!!! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kweli jakitoo ametuachia maumivu makubwa sana.Nimeamini "ukitaka kujua umuhimu/thamani ya kitu,kipotee". Jakitoo kapata mchumba huko,akaona njia ya kujimuvuzisha bila kusababisha mgogoro akaamua kujipachika (utani) avatar ya BANNED.Saa hivi kapo hanemuni kisiwani Ukerewe.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] kalale pema peponi kamandaa,kale pema peponi kamandaa,itakuwa huzuni kwa ndugu na masela...[emoji445] [emoji444] [emoji445] [emoji444] [emoji443]
 
Back
Top Bottom