Ujue wingi ama uchache wa homoni fulani huchangia kujengeka kwa tabia fulani. Pia mazingira alimokulia mtu, kwa maana ya watu na malezi aliyopata na kadhalika.
Mazingira yanayomzunguka mtu nayo ndiyo usiseme. Tunatofautiana kupindukia. Ni kwa sababu hiyo tunaweza kusema kuwa haiba hutofautiana kati ya mtu na mtu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.