Madem wakenya Nani aliwaroga kweli
Nimeitisha kadem kengine number kaka nipa,kumbe ni ya chali yake.
Ku call jamaa aka receive
Helloo, nani huyo anatongoza bae wangu??
Nikamjibu. *"mimi nafanya kazi kwa guest house, nmepewa hii namba na mzee mwenye walikua naye,,,,muulize kama hizi panties zake tuchome ama anakujia?*[emoji23][emoji23][emoji23]