Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Lakini
kwa kuwa watu unaokutana nao
hamfanani tabia kuna kipindi
lazima
kutatokea utengano na hao marafiki.
Ama
uwe wewe umechoka na mwenendo wao au wao wachoke na mwenendo wako
 
Screenshot_2018-04-15-20-20-29.jpg
 
Lakini
mpaka utengano kukamilika,
kuna dalili huwa zinajionyesha mwanzoni ambazo
ukizisoma utagundua mapema sana kwamba kuna kitu unatakiwa ufanye ama kuuokoa au kuumaliza kabisa na wewe.

Hebu tuangalie dalili 5 unazoweza kuziangalia katuika urafiki wako:
 
1.MUONEKANO WA USONI


Kama
wana nyuso za furaha
wanapokuona,
hapo jua wanafurahia uwepo wako.
Lakini
ukiona umetokea tu nyuso
za watu zimebadilika ujue hizo ni
dalili za
kuwa uwepo wako
hauna umuhimu kwao.
 
Kuna kaukweli lakini shemeji. Hebu angalia hapo uniambie kuna vitu vingapi kwenye pochi yako kati ya vilivyoorodheshwa [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
[emoji38] [emoji38] ndio shem kuna kiukweli aki hivyo vitu ni mingi onli slei kwins wanaweza.

Vyangu hapo kama kumi tu hivi[emoji125]
 
Back
Top Bottom