Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Naomba picha ya wale samaki wabichi pulizi kuna kitu nataka niangalie[emoji125] [emoji125]
Jirani nawe uko Masaki?Maji hayapandi gorofani...
Mambo gani?Hapana,hizi mambo sizitaki tafadhali
Hayo ya kuitana hayo majinaMambo gani?
Mchaga wa Kilimanjaro huyo. Kaskazini huko wanakuitaga ghorofani...Ghorofa lipi jirani??[emoji15][emoji15]
Hapana..napitaga kusalimia majirani zangu wa kijijini.Jirani nawe uko Masaki?
Yapi lovenessHayo ya kuitana hayo majina
Kweli..Sipendi nione hata comment moja iliyopata likes chini ya tano