Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nina magumu mengi ninayo yapitia,kuwepo hapa ni kwa ajili ya faraja.Acha nirudi kwa Mbarikiwa,Mungu aendelee kujidhihirisha ukuu wake. Amen[emoji120] [emoji120]
Wimbo wake wa Mapambano umenivusha katika mapigano na siku nyingi za huzuni. Nitachangia huduma yake [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…