Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1523795762314.jpg
 
Jipe moyo ndugu yangu. Haupo peke yako na karibu kila mtu unayemwona anapitia mengi magumu japo ugumu unatofautiana. Hili hata hivyo halisaidii cho chote katika kupunguza ugumu wa magumu unayopitia kwa sababu magumu yetu siyo mashindano na kila mmoja anapambana tofauti na mwenzake.

Sijui mwenzangu unavyoendelea kupona kidonda cha kuondokewa na mzee wako. Mimi imekuwa vigumu kuliko nilivyofikiria na kuja katika uzi huu na kucheka nanyi wapendwa inasaidia sana. Tuendelee kuombeana na kutiana moyo huku tukipendana na kuamini katika ushindi. Yote kwa yote Mungu ni mwema na Anatupenda sana. Na kama Alivyotuahidi kamwe hatatuacha [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Ameenda na kila kitu
 
Back
Top Bottom