omarion5
JF-Expert Member
- Oct 14, 2017
- 5,204
- 17,687
ahsanteh mkuuKama sikosei 2009
ahsanteh mkuuKama sikosei 2009
Karibu sanaahsanteh mkuu
mkuu BAK
natanguliza salamu
.nikifikir naona tanzania kusingekuwa na ufisadi namna hiyo/ pesa kupotea ama kutumika matumizi yasiyokuwa na lazima.
pengine tungekuwa mbali sana kiuchumi, pesa za walipa kodi wanaovuja jasho ilaliwa na hakuna wakuuliza/kujali....