Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1. Pombe na kahawa.
Pombe na kahawa au vinywaji vingine vyenye caffeine vinaweza kuleta matatizo kwa mtu mwenye vidonda vya tumbo na kwa mtu asikuwa navyo anaweza kupata, hivyo ni vyema kuepuka au kutuma kwa kiasi kidogo vinywaji hivi. Kimsingi vinywaji hivi huongeza aside tumboni na hivyo vinaweza kusabbisha vidonda au kusidisha maumivu kwa anayeumwa.
 
2. Ulaji wa chumvi.
Utafiti uliowahi kufanywa nchini marekani umeonesha kuwepo kwa uhusiano kati ya ulaji chumvi na vidonda vya tumbo. Mgonjwa wa vidonda vya tumbo anashauriwa kuepuka kula wa vyakula vyenye chumvi nyingi, hususani vyakula vya kusindika ambavyo huweka chumvi nyingi ili visiharibike haraka. Pia jiupeshe na kuongeza chumvi mbichi kwenye chakula ambacho unakula.
 
3. Vyakula vyenye viuongo vingi.
Endapo kama una vidonda vya tumbo epuka kula vyakula ambavyo vina wingi wa viungo mbalimbali, mfano wa viungo hivyo ni kama vile pilipili, kwani inasadikia ya kwamba ulaji wa pilipili kali, huongeza kasi ya maumivu ya vidoda vya tumbo.
 
Jihadhari na magonjwa ya Figo kwa kufanya yafuatayo

Magonjwa ya figo yanazidi kushika hatamu katika karne hii, lakini licha ya madaktari bingwa wanavyozidi kupambana na ugonjwa huu lakini bado wagonjwa wanazidi kuongezeka. Na miongoni mwa sababu zinazopelekea kuongeza kwa wagonjwa huo ni kutokana watu wengi wanashindwa kuelewa visababishi na jinsi ya kuzuia magonjwa hayo.
 
1. Usichelewe kwenda HAJA.
Kutunza mkojo kweye kibofu chako kwa muda mrefu ni wazo baya. Kibofu kikijaa kinaweza kusababisha uharibifu. Mkojo ambao unakaa kwenye kibofu huzidisha bakteria haraka. Mara mkojo unaporudi nyuma ya njia na Figo, sumu dutu husababisha maambukizi ya figo, pia njia ya mkojo na "nephritis", pamoja na "uremia". Wakati wito asili (unahisi mkojo) fanya hivyo haraka iwezekanavyo.
 
4. Unywaji mwingi wa "Caffeins".
Caffein hutokana na vinywaji vya Soda na vinywaji vingine laini kama Kahawa, Redblue n.k. Hupandisha shinikizo la damu na figo zako kuanza mateso. Unapaswa kupunguza kiwango cha Coke, Pepsi, Red Bull, nk ambavyo hunywa kila siku.
 
Ameenda na kila kitu
Maisha yana changamoto)magumu yake.
Hakuna aliyesema haya yatakuwa rahisi na yataisha ndani ya muda mfupi.
Utapitia magumu mengi yatakayo kuvunja moyo na kukuumiza pia lakini kumbuka haya yote hutokea sababu Mungu yuko na mipango na sisi.
Cha muhimu ni kuwa na moyo wa subra,usikate tamaa ipo siku yote yataisha.
Safari ni ngumu na kuna kipindi utajihisi kuchoka sana ila usikate tamaa,Mungu yuko anaona na kusikia.
Hakukuacha na hata endelea kukuacha endelea kumtegemea na kujikabidhi kwake.
Mungu aendelee kukushika mkono na kamwe usiuachie.
[emoji120][emoji120][emoji120]
 
tapatalk_1524004054897.jpeg
 
Back
Top Bottom