Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kabisa Mkuu haya majizi yamejivisha ngozi ya uongozi miaka nenda miaka rudi ni wizi na ufisadi wa kutisha huku wakilindana kwenye maovu yao dhidi ya Watanzania. Wenyewe wanakuwa mabilionea lakini asilimia kubwa ya Watanzania wanaishi maisha ya ufukara wa kutisha katika Nchi ambayo imejaliwa utajiri mkubwa sana wa rasilimali mbali mbali.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…