Epuka kula vya kula vya aina hii kama una Vidonda vya Tumbo
Tafiti zinaonesha ya kwamba vipo baadhi ya vyakula ambavyo huruhusiwi kula kama unavidonda vya tumbo, lakini pia vipo baadhi vyakula ambavyo unaruhuiwa kula kama una vidonda vya tumbo. Vifuatavyo ni vyakula ambavyo hutakiwi kula kama una vidonnda vya tumbo.