Sawa, uamuzi sahihiMshambuliaji wa Atletico Madrid Fernando Torres, 34, anatarajiwa kuipuuza ligi ya kwanza ya China na badala yake kuelekea ligi ya Marekani ya MLS baada ya kutangaza kwamba ataondoka Uhispania mwisho wa msimu huu.. (Marca)
Naunga mkono, Rafa ni bonge la kochaKiungo wa kati wa zamani wa Liverpool na Fulham Danny Murphy anasema kuwa mkufunzi wa Newcastle Rafa Benitez anaweza kuwa kocha mzuri anayeweza kumrithi Arsene Wenger katika klabu ya Arsenal. (Talksport)
real talk!!!View attachment 748534
[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Habari yako chief
Safi mkuu,,Tunamshukuru MunguMungu anasaidia Mkuu! Mambo vipi?
Asubuhi njema pia mkuuvizuri mkuu,,,
Nikutakie asubuhi njema
Asante!!! [emoji120] [emoji120] [emoji120]Asubuhi njema pia mkuu
Safi mkuu,,Tunamshukuru Mungu
Vipi huko?
Kwelii zipo vizuri sanahii na ile ya kendrick-poetic justice huwezi kuzchoka kwenye masikio yako