Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Welcum WolverhamptonKlabu ya Wolves inataka kutumia £20m kuwasaini kwa mkopo wachezaji Benik Afobe, 25, na Willy Boly, 27 - kutoka Bournemouth na Porto mtawalia - kufuatia kupanda ngazi katika ligi ya Premia (Telegraph)