Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kiungo wa kati wa Barcelona Andres Iniesta, 33, ataeleka katika klabu ya China mwisho wa msimu huu huku chupa bilioni mbili za mvinyo zikiorodheshwa katika makubaliano hayo.. (Marca - in Spanis
 
Mkufunzi wa Manchester United Jose Mourinho yuko tayari kumwacha kiungo wa kati aliyenunuliwa kwa kitita cha £89m Paul Pogba, 25, kuondoka klabu hiyo pamoja na mshambuliaji Anthony Martial, 22, beki wa Uholanzi Daley Blind, 28, huku beki wa Itali Matteo Darmian akitarajiwa kuuzwa. (Mail)
 
Manchester City itampatia meneja Pep Guardiola kitita cha £200m za uhamisho baada ya kushinda taji la ligi , huku kiungo wa kati wa Napoli na Italy Jorginho, 26, pamoja na kiungo wa kati wa Shakhtar Donetsk ,24, raia wa Brazil Fred wakilengwa. (Mirror)
 
Mkufunzi wa Liverpool Jurgen Klopp anatarajiwa kuanzisha tena mpango wake wa kutaka kiungo wa kati wa Napoli Piotr Zielenski. Klabu hiyo ya Itali iliishinda Liverpool kupata saini ya mchezaji huyo mwenye umri wa mika 23 2016.(Sun)
 
Manchester United wametuma maskauti kumtazama kiungo wa kati wa Lazio na Serbia Sergej Milinkovic-Savic, 23, huku mkufunzi Jose Mourinho akitaka kuwasajili viungo wa kati wawili mwisho wa msimu.. (Mail)
 
Back
Top Bottom