[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Helo Demiss
Kazi hioKula matunda tu .. namaanisha breakfast ako iwe ni matunda lunch mpaka chakula ya usiku .. utakua umetibu sukari. Achana na vyakula vyooote replace na matunda na hasa yale yasiyo na sukari nyingi.
Eee afu ujue wewe utakua ni andaeitin humu oohooo wakikugundua humu hizi discussion nzito nzito hawatakushirikisha teeenaaaaaaaaHahah!! Eti utoto kwahiyo sasa hivi umekua?
Eeh sio poa kipindi hiyo wazazi walikua wanazingatia maadili sana ndio mana ulikua unakatazwa....
Mimi kulikua na Uncle wangu R.I.P alikuanayo mengi sana sasa chimbo lake nilikua nalijua basi akitoka tu mimi naenda kuangalia mambo yetu...