HahahahaRais anaeongoza kukwea pipa Tz....
Kichekacheka ...mkwere...Vasko..da..Gama..
Kwetu kolomije tunayaita magunzi/mabunziWahenga mupo?
View attachment 749967
Akhu injin haijiwash washi ovyo bila makenika kuwepo,siku ipo poa kabisa,za kuamka usiku wa manane?Usinisingizie. Usingizi ulipokata nadhani uliamka injini ikiwa on. Upako uko pale pale. Siku yako inaendeleaje?