Ingia kwenye huo uzi utafahamni tofauti kijinsia au tabia.
Kolomije ya wapi hiyo? Magunzi si Kiswahili hicho? Huku Kolomije ya kwetu yanaitwa makongote !!!Kwetu kolomije tunayaita magunzi/mabunzi
Hahaha mkuuKolomije ya wali hiyo. Magunzi si Kiswahili hicho. Huku Kolomije ya kwetu yanaitwa makongote !!!
Eti bila makenika kuwepo. Haya bana...Akhu injin haijiwash washi ovyo bila makenika kuwepo,siku ipo poa kabisa,za kuamka usiku wa manane?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Duuu, cc carbamazepine, numbisa,ledada, consuela.....