Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huoni mimi nimetulia tu kama vile sijui kinachoendelea. Akili kumkichwa [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wajaanjaaa
 
Mahospitalini huko kuna wagonjwa wengi waliotelekezwa na ndugu zao na jamaa. Wengine hawana marafiki hata watu wa kuongea nao na kuwatia moyo. Tukipata muda siku yo yote ni vizuri kuwasalimia na kuongea nao hata kujenga urafiki. Wengi wao wala hawahitaji misaada ya kifedha bali tu kuonyeshwa kuwa nao wangali na thamani mbele ya Mungu wetu, na kwamba kuna watu wanawapenda. Nimejifunza mengi kuhusu maisha, ubinadamu na mapito yetu hapa duniani kutoka kwa wapendwa hawa. Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Amen
 
Savage...
446611182_62415.jpg
 
Acha hizo unakwaza wenye din tofauti na zetu ujueeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sidhani. Sijagusia dini ya mtu. Na wenyewe wanaweza kuweka ya dini zao ali mradi tu wasikwaze za wengine. Mbona Goddess huwa anaweka mambo ya dini yake hapa na hakuna ambaye ameshasema kitu? Tuvumiliane !!!
 
Back
Top Bottom