Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_20180419_172741_806.jpg
 
Mi sihusiki. Shogako ulimkatikia usiku wa manane na injini ikawa on basi akaanza harakati za kunifukuzishia upako wangu. Nilikemea pale pale laivu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio kweli unanisingizia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kitoo anapenda music na picha za watoto.

Ledada anapenda music na picha za watoto


Ningendako anapenda music

Cole anapenda music

Kitoo na cole walimtisha shimba kwa ukaribu wao wa kurushiana nyimbo lyrics
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sijui nimeandika nini jaman
Aah sijamalizia ninge na dada nao zinapanda kweli kwenye music. Shimbaaaaaaaaaaaaa weka upako pemben[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] aisee na ww unapenda nn
 
Back
Top Bottom