Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huoni mimi nimetulia tu kama vile sijui kinachoendelea. Akili kumkichwa [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wajaanjaaa
 
Amen
 
Acha hizo unakwaza wenye din tofauti na zetu ujueeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sidhani. Sijagusia dini ya mtu. Na wenyewe wanaweza kuweka ya dini zao ali mradi tu wasikwaze za wengine. Mbona Goddess huwa anaweka mambo ya dini yake hapa na hakuna ambaye ameshasema kitu? Tuvumiliane !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…