[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] NATENGUA KAULI COLE YUPO PEKE AKE NA NINGENDAKO YUPO PEKE AKEEEEEEEE
Usijali mkuu. Uwe na usiku mwema.Wanachanganya mkuu
Vipi tena shem?[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aaa wapi.....
Mimi ndo niwe pimbi? Mbona powa tu? [emoji23][emoji23][emoji23]
Vipi kule ulienda??Kwema. Niko napambana na hali yangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tushayaonaga sana mabao ya hivyo, haliwezi fanana na bao la Mo Salah dhidi ya Man City ambalo amelifunga kwenye mazingira magumu. Hata hivyo usijali sana mpira ni ule ule, lakini kila mmoja ana maono tofautiAcha hizo moud
Tushuke tu wote,huwezi niacha pekeyangu humuAisee...JF hii simama nishuke...