Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hulinda afya ya macho

Kemikali ya lutein na zeaxanthin ni muhimu sana kwa ajili ya kulinda na kuimarisha afya ya macho.

Ikumbukwe kuwa parachichi ni tunda lenye kiasi kikubwa cha lutein ambayo pia hulinda macho dhidi ya matatizo mbalimbali yatokanayo na umri.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wametafutana muda mrefu kwa lyrics. It is time. Tuwahongereshe tu kwa kweli kwa sababu hakuna namna...
Hongera zao kwakweli[emoji23][emoji23][emoji23]
What a smart move
 
Parachichi lina Potasiamu nyingi kuliko ndizi

Watu wengi wanapenda ndizi kwa kuwa ni chanzo kimoja wapo cha madini ya potasiamu, lakini hawafahamu kuwa ndizi ina potasiamu asilimia 10 na parachichi lina asilimia 14. Hivyo parachichi ni bora zaidi.

Potasiamu ni muhimu katika miili yetu kwani hutuwezesha kutawala kiwango cha sodiamu katika miili yetu na kutuepusha na madhara yatokanayo na madini haya ya sodiamu.
 
Huboresha afya ya nywele na ngozi

Naamini umewahi kusikia kuwa parachichi hutumika kutengenezea mafuta ya nywele na ya ngozi; hii ni kutokana na kusheheni vitamini E ambayo ni muhimu kwa ajili ya afya ya nywele na ngozi zetu.

Hivyo badala kununua mafuta ya gharama kubwa ili kupata vitamini E kwa ajili ya ngozi na nywele zako, basi kula tunda la parachichi sasa.
 
Halafu we na shogako badala ya kunihurumia ndo mmekuwa wa kwanza kunicheka. Si angalau mnihurumie kwa kimdabuo basi? Da shit has happened...Time to move on I guess....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya mambo yanachekesha kwakweli acha tucheke.

Naomba ka picha lile godoro la sleep with me puliziiii
 
Back
Top Bottom