Mbona mguno jirani?
Ina maana hujui??[emoji15][emoji15][emoji15]Mchezo gani tena huo jamani?
Hakuna chama hapa tunachoshana tu[emoji124] [emoji124] [emoji124]Bado hukafanikiwa lakini kukivunja! [emoji1][emoji1]
Washaukata??Huimarisha kinga ya mwili
Kinga ya mwili hutegemea vitamini B, C na E ili kujiimarisha na kujijenga. Hivyo ulaji wa parachichi utaimarisha kinga ya mwili yako kwani parachichi limesheheni vitamini B, C na E.
Duh sa ile hali ilikua mbaya aiseee maisha haya nilihisi nakaribia kurudisha nambaWashaukata??
Dah!poleDuh sa ile hali ilikua mbaya aiseee maisha haya nilihisi nakaribia kurudisha namba
AsanteDah!pole
Saahizi uko sawa??
[emoji120][emoji120][emoji120]Asante
Mzima kabisa,maajabu haya.
Umemuona bi harusi wa kiba?mzuri