Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jali mwili wako, hasa utumbo wako.

Ndani ya tumbo lako kunahitaji afya ya hali ya juu. unaweza kutafuta mbinu za kusafisha sumu ilipo ndani yako. Tumia Dawa za antibiotics panapokuwa na umuhimu huo tu. Tena tumia zenye sifa na kuongeza kula chakula unapokuwa unatumia ili kusaidia kazi ya dawa hizo
 
Achana na Stress

Mtu mwenye stress anakuwa yupo kwenye hatari ya magonjwa mengi. Kumbuka kuwa stress inatokana na mambo mengi. Mahusiano mabaya, maisha sio mazuri, mawazo mabaya, kazi ambayo huipendi, yote haya yanaweza kusababisha saratani au ugonjwa wa akili. lakini ipo mbinu ya kuondoa au kupunguza . Nayo ni Meditation na mazoezi. tafuta mbinu ambazo zinafanya kazi kwa ajili yako na ufanye mara kwa mara.
 
Mazoezi ya kutembea kwa muda wa dakika 45 ni mazuri. fanya mazoezi kila siku au kila baada ya siku moja ili kujiepusha na saratani. wakati huo huo zingatia kutumia vyakula kama dawa. kwa kufanya hivyo utajiboresha katika kila vipengele vya afya ya mwili wako.
 
Wakati baadhi ya wabunge na mawaziri wakiendelea kuhoji uhalali wa kampeni ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, mwanamke mmoja, Mary Masawe ameondoka kwenye ofisi za mkuu huyo wa mkoa akichekelea.
 
Mary ambaye anadai kutelekezwa kwa miaka tisa na mwenza wake aliyezaa naye watoto wawili ni miongoni mwa wanawake waliopata msaada wa kisheria.
 
24ed0109b86960a38043d25d75cf222d.jpg
 
Back
Top Bottom