ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,906
- 42,078
Cocochanel naona leo umeniandam nimekukosea ninHuyo kabisa na yule mdonoa herufi yoyote hata jina sijalinyaka binti purple
Cocochanel naona leo umeniandam nimekukosea ninHuyo kabisa na yule mdonoa herufi yoyote hata jina sijalinyaka binti purple
Nipo mamie!!Upo?
Avatar yako nzuri.
Nipo mbele kwa sasa mkuu maana hiyo ilikuwa mda sanaNjoo nipo pages 20 nyuma ha ha ha aaa
Tete [emoji1] [emoji1]Acha kudanganya bana. We ni mwenyeji kabisa hata hela zinapowekwa unajua [emoji23][emoji23][emoji23]
Niko poa kbs, sikuoni home. Uko wapi?Niaje mamaa,umeshindaje kwa ujumla?
6515/6530 nakuja 25 min ago
Nchi nzuri kuliko zote duniani!Tanzania
Mbio za 70k zimeanza acha niendelee kupiga tizi[emoji465] [emoji470] [emoji470]Mbona mnaisarandia kwa kasi haswaaa
Hakuna Matata...Wazungu hutamka hakuna matara...Lion King