Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kwahiyo wamaanisha wasukuma ndo walianzisha ugemaji "chumvi uvinza"?Zamani Wasukuma walikuwa wanafunga safari kwenda Uvinza kugema chumvi. Ilikuwa ni safari ngumu na wengi wao walikuwa hawarudi !!!
Ukiona hivo ujue hazijapozwa.Mmeanza mapema leo. This gonna be a long day [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii picha mbona haina hati miliki??[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hapana. Makabila mbalimbali yalikuwa yanakwenda huko. Kila moja kwa wakati wake. Shida ilikuwa ni pale Wasukuma walipogongana na Wamasai. Wengi waliishia kuuana...Kwahiyo wamaanisha wasukuma ndo walianzisha ugemaji "chumvi uvinza"?
[emoji16][emoji16][emoji23]
Kumbe injini yako iko on eeh??Ukiona hivo ujue hazijapozwa.
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Zote hazina hati milikiHii picha mbona haina hati miliki??[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Wamasai nao wanagema chumvi uvinza??Hapana. Makabila mbalimbali yalikuwa yanakwenda huko. Kila moja kwa wakati wake. Shida ilikuwa ni pale Wasukuma walipogongana na Wamasai. Wengi waliishia kuuana...
Shogako jana alisema injini haipaswi kutokota kama mekanika wake hayupo [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️Kumbe injini yako iko on eeh??
Wapi injinia[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Namaanisha kale ka stika ja esiwaibiiZote hazina hati miliki
Halafu nasikia enzi hizo walikuwa wakikatiza tu mbugani.Zamani Wasukuma walikuwa wanafunga safari kwenda Uvinza kugema chumvi. Ilikuwa ni safari ngumu na wengi wao walikuwa hawarudi !!!