Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Wanawake wote shikamooni [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Kushindwa kupita kichwa cha mtoto na kuwa katika uchungu kwa muda mrefu husababisha tishu za uke, kibofu cha mkojo na njia ya haja kubwa kugandamizwa kati ya kichwa cha mtoto na nyonga za mwanamke hali inayosababisha ukosefu wa damu katika tishu hizi baada ya mfumo wa damu kuharibika hivyo kuziweka tishu katika mfumo ujulikanao kitaalam kama Ischemic necrosis.
Wewe unacheka nini na mimi nauloza maswali??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],
Ukiona manyoya empty head
[emoji23][emoji23][emoji23], kaingizwa chaka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shemeji kaliwa kizembe sana
Nimeuliza swali bhana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji23], hayo maneno yako
Na kula wajanja wamekula !!![emoji23][emoji23][emoji23], kaingizwa chaka
[emoji7][emoji7], ujumbe murua kabisa.
Hatari kabisaNa kula wajanja wamekula !!!