Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Lakini pia wataalamu wa afya wanabaini fistula mara nyingi hutokea kwa wanawake wanaojifunglia majumbani baada ya kukosa matibabu. Ni Sahihi mara kwa mara kwa wajawazito kujifungua katika kituo cha matibabu ambapo unaweza kufuatiliwa na kupata huduma za matibabu kwa wakati ni muhimu.
 
Wanawake wote shikamooni [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Hivi karibuni Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, jinsia, Wazee na Watoto ilitoa tamko la wagonjwa wa fistula kutibiwa bure katika hospitali za serikali ikiwa ni juhudi zinazofanywa ili kupunguza tatizo la ugonjwa huu pamoja na kuwasaidia wanawake wengi wanaoteseka kutokana na kupata ugonjwa huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…